Howard G. "Ward" Cunningham ni mgunduzi wa programu ya wiki ambayo ndio inatumika katika miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa kamusi elezo hii. Cunningham alizaliwa mwezi Mei 1949 nchini Marekani.
Makala hiyo kuhusu "Ward Cunningham" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".
Ikiwepo makala kuhusu Ward Cunningham kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.