Tarakilishi
Kompyuta ya kisasa (kwa Kiingereza personal computer au PC) :
- Kiwamba (skrini)
- Bao kuu
- CPU (bongo kuu)
- RAM (Kumbukumbu ya muda)
- Kadi za nyongeza kama vile kadi mchoro n.k.
- Ugawi wa umeme
- Kiendeshi CD
- Kiendeshi diski kuu (HDD - kumbukumbu)
- Baobonye
- Puku
Tarakilishi (pia: tarakishi, kompyuta) ni mashine inayotumia data kwa njia tofauti kutokana na maagizo zilizoandikwa kwenye bidhaa pepe (kwa Kiingereza software).
Maneno Kompyuta na Ngamizi yanaweza kutumika badala Tarakishi.
[hariri] Viungo vya Nje
Orodha ya maneno ya tarakishi ya mradi wa Kilinux kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
 |
Makala hiyo kuhusu "Tarakilishi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".
Ikiwepo makala kuhusu Tarakilishi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.
|
|