Rio de Janeiro

Jiji la Rio de Janeiro linavyoonekana kutoka mlima Corcovado
Jiji la Rio de Janeiro linavyoonekana kutoka mlima Corcovado
Favela-mtaa wa mabanda
Favela-mtaa wa mabanda
Rio kutoka angani
Rio kutoka angani

Rio de Janeiro ni jiji kubwa la pili nchini Brazil baada ya São Paulo.

Ilikuwa mji mkuu wa nchi hadi 21 Aprili 1960. Leo ni mji mkuu wa jimbo la shirikisho la Rio de Janeiro. Mwaka 2000 rundiko la jiji lilikuwa na wakazi 5,473,909.


Rio de Janeiro ni jiji la Brazil linalojulikana zaidi kote duniani. Ni kitovu cha utalii na cha utamaduni. Kanivali yake inavuta wageni wengi kila mwaka. Mlima wa Corcovado unabeba Sanamu ya Mwokozi ambayo ni sanamu kubwa ya Yesu yenye kimo cha m 30.

[hariri] Viungo vya Nje

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Rio de Janeiro" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Rio de Janeiro kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.


system wymiany linków wymiana linkami system wymiany linków tanie kredyty gotówkowe kreatyna Plaza 3 star hotel Los Angeles krynica noclegi Sejm Tyk