Lugha nyingine

Kiholanzi

Maeneo ambako Kiholanzi huzungumzwa katika Ulaya
Maeneo ambako Kiholanzi huzungumzwa katika Ulaya

Kiholanzi ni lugha inayozungumzwa nchini Uholanzi, Ubelgiji na Surinam na watu milioni 22. Katika Uholanzi inaitwa "Nederlands" na katika Ubelgiji inaitwa "Vlaams".

Kiholanzi ni lugha ya Kigermanik ya magharibi katika jamii ya lugha za Kihindi-Kiulaya.

Kiafrikaans cha Afrika Kusini ni lugha iliyotoka katika Kiholanzi. Kijerumani ya Kaskazini ni karibu sana na Kiholanzi.

[hariri] Viungo vya nje


SEO Tools SEO Tools SEO Tools wymiana linkami kreatyna Gry Online Plaza 3 star hotel Los Angeles krynica noclegi Kredyty odnawialne