Sigismund (15 Februari, 1368 – 9 Desemba, 1437) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1410 hadi kifo chake. Alivishwa taji la Kaizari mwaka wa 1433 tu. Alimfuata Rupert, na kufuatiwa na Albert II.
Ikiwepo makala kuhusu Kaizari Sigismund kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.