Jimmy Wales

Wales akizungumza katika mkutano wa Wikimania wa mwaka wa 2007.
Wales akizungumza katika mkutano wa Wikimania wa mwaka wa 2007.

Jimmy "Jimbo" Donal Wales (amezaliwa tar. 7 Agosti, 1966) ni mwanzilishi na ni rais wa sasa wa Wikimedia Foundation. Anafahamika zaidi kama mwanzilishi wa kamusi elezo huru ya Wikipedia. Kwa sasa anaishi mjini St. Petersburg, Florida.

Hapo awali aliunda kamusi elezo huru ya kwanza iliyojulikana kwa jina la Nupedia. Kisha baadaye akaanzisha mradi mpya wa Wikipedia, ambayo hapo mwanzo ulibidi uwe katika moja kati ya mradi wa Nupedia. Badala yake mradi mpya wa Wikipedia ukapata shauku zaidi na ukaja kuwa miongoni mwa miradi mikubwa mtandaoni kama ulivyo leo hii.


wymiana linkami wymiana linkami SEO Tools SEO Tools SEO Tools tanie kredyty gotówkowe kreatyna Plaza 3 star hotel Los Angeles krynica noclegi Sejm Tyk