J.R.R. Tolkien

J.R.R. Tolkien
J.R.R. Tolkien

John Ronald Reuel Tolkien (3 Januari, 18922 Septemba, 1973) alikuwa mtaalamu na mwandishi kutoka nchi ya Uingereza. Ingawa Tolkien alikuwa profesa katika Chuo Kikuu cha Oxford na kutafiti fasihi ya Kiingereza cha kale, anajulikana hasa kwa kuandika vitabu vya bunilizi ya kinjozi ambavyo ndani yake alibuni dunia ya visasili.

[hariri] Baadhi ya Vitabu vyake

  • 1937 "The Hobbit"
  • 1954-56 "The Lord of the Rings" (Bwana wa Mapete)
  • 1977 "The Silmarillion" (kuchapishwa baada ya kifo chake tu)
Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "J.R.R. Tolkien" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu J.R.R. Tolkien kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.






SEO Tools wymiana linkami SEO Tools system wymiany linków SEO Tools tanie kredyty gotówkowe kreatyna Plaza 3 star hotel Los Angeles krynica noclegi Sejm Tyk