Elektroni

Mfano wa mpangilio wa elektroni kwenye mizingo elektroni ndani ya ganda la atomi cha natiri
Mfano wa mpangilio wa elektroni kwenye mizingo elektroni ndani ya ganda la atomi cha natiri

Elektroni ni chembe ndani ya atomi yenye chaji hasi. Iko nje ya kiini cha atomi na kukizunguka kwa njia yake katika ganda la atomi. Njia hizi zaitwa mizingo elektroni.

Masi ya elektroni ni ndogo sana imekadiriwa kuwa sehemu ya 1/1836 ya protoni. Jumla ya elektroni zote haifikii asilimia moja ya masi ya atomi yote mengine ni kiini. Idadi ya elektroni katika atomi hulingana idadi ya

Elektroni hukaa ndani ya atomi lakini kuna pia elektroni zilizotoka kwenye atomi yao.

Mwendo wa elektroni kutoka atomi mmoja kwenda nyingine unasababisha umeme.

[hariri] Tazama pia


system wymiany linków wymiana linkami wymiana linkami tanie kredyty gotówkowe kreatyna Plaza 3 star hotel Los Angeles krynica noclegi Sejm Tyk